Itifaki (utarakilishi)

Katika utarakilishi na lugha za programu, itifaki (kwa Kiingereza: protocol in object oriented programming languages) ni vyombo vya kawaida vinavyotumika ili vipengee viwasiliane. Itafaki inatumiwa katika lugha ya programu inaozingatiwa kuhusu kipengee kama Lua, Python au Java


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy